JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi Leo nafanya zamu ya lindo nikiwa maeneo ya DRC Lubumbashi, Congo Royal,, wewe uko mbali upo pamde gani za Dunia hii tujuzane!!
 
Nashindwa kulala haja ya moyo wangu naijua, Machozi hayaniishi homa ya mapenzi naugua, Furaha yangu mimi kulia mpaka nahisi duniani kama naonewa.
Lia mpaka majirani walime mpunga kwa machozi yako[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom