Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Pole sana mpweke mwenzangu!Lonely lonely mimi nalia, furaha ya moyo wangu imetwliwa.
I'm a single boy mimi nalia mpaka nihisi mpweke kwenye dunia
Pole sana mpweke mwenzangu!Lonely lonely mimi nalia, furaha ya moyo wangu imetwliwa.
I'm a single boy mimi nalia mpaka nihisi mpweke kwenye dunia
Weee acha tu mpweke mwenzangu! Weekend imekuwa shuburi kwanguNini kimekukumba asee mpweke mwenzangu
Wapo vifuani mwa wanaume zao sa hv......utulie tuIna maana hili lindo halina wadada au wote wapo kwenye madanga?
Sio tabia nzuri hiyo simamia wametekwa wote aiseeWapo vifuani mwa wanaume zao sa hv......utulie tu
Dah....karibu Director [emoji2960]0012
Signing in again
Asante mkuuDah....karibu Director [emoji2960]
We upweke unajitakia,mm nipo hunitaki tatizo nnPole sana mpweke mwenzangu!
Umezingua[emoji38]leo nimejisikia tu kuvuruga utaratibu[emoji16]