Director Kenny
JF-Expert Member
- Jan 11, 2020
- 347
- 849
0011
Nipo njema kabisa0009
Kabisa,vp ww mkuu
Na wewe pia mkuuMpumzike kwa amani.![]()
Sanaaaa....za kupoteana?Mrembo uko gud?
abeee love
narudi rasmi my dear one Kichwa Kichafu, it has been ups and downs but all well darln
Nipo kitandani kimara nasoma msg za jamiiNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
COVID~19 inanifanya mbaya.Sanaaaa....za kupoteana?
Upo?Sanaaaa....za kupoteana?
Pole sana...COVID~19 inanifanya mbaya.
Hadi inifikie ntakuwa tayari chiziPole sana...
Chanjo ziko njiani
Kapo haka kadada....mzima kaka?Upo?
Nitakuibia....nikulete.Hadi inifikie ntakuwa tayari chizi
Hata kesho, I'm tired afNitakuibia....nikulete.
Mwezi ujao....acha nihakiki kwanzaHata kesho, I'm tired af
Please niokoe na hili janga. Niwe wa mwanzo mwanzoMwezi ujao....acha nihakiki kwanza