Director Kenny
JF-Expert Member
- Jan 11, 2020
- 347
- 849
0200
Mzima aisee. Habari za masikuKapo haka kadada....mzima kaka?
Hatujambo....nashukuru.Mzima aisee. Habari za masiku
niko poa darln, unajua ile shughuli uliyonielekeza niifuatilie ndiyo ilikuwa sababu ya kuninyima kuja huku mida ile yetu lovepieFuraha yangu nikuona umerudi ukiwa mzima wa afya love!
niko poa darln, unajua ile shughuli uliyonielekeza niifuatilie ndiyo ilikuwa sababu ya kuninyima kuja huku mida ile yetu lovepie
Upo vyema mlinzi mtiifu0005
niko poa darln, unajua ile shughuli uliyonielekeza niifuatilie ndiyo ilikuwa sababu ya kuninyima kuja huku mida ile yetu lovepie
Kumbe baby shem Kichwa Kichafu wewe ndio ulikuwa chanzo cha kupotea kwa huyu malkia wa nguvu?Ondoa hofu love!

Kumbe baby shem Kichwa Kichafu wewe ndio ulikuwa chanzo cha kupotea kwa huyu malkia wa nguvu?
Nimekumiss mno kipenzi jje's![]()
Upo vyema mlinzi mtiifu