JamiiForums Usiku wa manane
kijiji jirani hapa sijui kuna nini kinaendelea huko sijui ni ugomvi wa mashamba au vipi maana naskia tu kelele na miguno ya ajabu ajab ya mwanamke. hawajui niko alone huku na hii baridi natamani hata niingilie huu ugomvi nikaamue
 
Back
Top Bottom