Kamatia lindo arifu sie wengine twaona chengachengaMh nani yupo macho tu storike??
Lindoni tena kuja kuzipokea pongezi, sema nini leo wezi wamenijaribukwani pongezi haziruhusiwi kutolewa.
Wezi si salama ila mapopo si salama zaidi, huwa tunakutana na vingi ukija kuwahadithia kuku huwa ni ngumu kuamini 😂😂Nimestuka wezi walikua waniibie mali zangu zipo nje, hawajui nina piga lindo kikongwe kabisa, nimewakimbiza sasa nimerudi ndani nikakosa na usingizi kabisa, nani yupo hapa tupige story
Mimi hapaMh nani yupo macho tu storike??
Lala weweMimi hapa

Pole sana, wezi sio poa lakini una ujasirii, kutoka na kuwakimbiza ni very risk.Nimestuka wezi walikua waniibie mali zangu zipo nje, hawajui nina piga lindo kikongwe kabisa, nimewakimbiza sasa nimerudi ndani nikakosa na usingizi kabisa, nani yupo hapa tupige story
Upo mapumzikoMimi hapa
Bado sanaaaLala wewe![]()
Nawangoja warudi tenaWezi si salama ila mapopo si salama zaidi, huwa tunakutana na vingi ukija kuwahadithia kuku huwa ni ngumu kuamini![]()
Unapiga push upBado sanaaa
Eeh kipindi cha kwanzaUpo mapumziko
Halafu nikaacha mlango wazi aiseehhh nimewaza baada ya kurudi, mtaa wangu hakunaga wezi, leo kuna mzigo nimeuacha nje kwa kuwa ni mzito basi wakataka kupita naoPole sana, wezi sio poa lakini una ujasirii, kutoka na kuwakimbiza ni very risk.
Itakua unafaidi una enjoy kichizi, mkishapiga round moja mpo hoi jasho kimtindo hata kwenda kunawa uvivu, sasa cha round inayofuata ndiyo round ya ushindi.Eeh kipindi cha kwanza
Tukeshe hapa... Nipe mrejesho za game unalopiga sahivi, vipi performance ya baharia, je unampa asilimia ngapi bahariaBado sanaaa