Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,613
Asee mie nipo kitaa naperuzi jf hapa nataka nitoke nje nisikilize mawazo ya bodaboda, wazee wa kukesha wanastory na kujua vingiMie niko kwenye Nyama Choma.Festival hapa! All alone, nafurahia my own company