Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,684
Leo upo peke yako humuSio mchezo biliani hiyo mzee wangu.
Leo upo peke yako humuSio mchezo biliani hiyo mzee wangu.
Tupo tunaandaa uniform tukamate lindoLeo upo peke yako humu
Tupo kijana03:57 nipo alone jeshi la mtu mmoko
Aisee nilishaanza kuwaza kusalitiwa na makamanda wenzanguTupo kijana
Usingizi kwishney kelele za jiran kwenye kwichi kwichi zmeninyima usingizi
KaribuNani yuko hapa tuonane?
AhahahaDah itabidi ulipie aiseee, huwezi kufaidi movie (audio) bure bila kulipia!
Mie tuu ndio nashangaa shangaa mataaWeekend hii naona Vijana na Wazee wanatumika
Mie niko kwenye Nyama Choma.Festival hapa! All alone, nafurahia my own companyMie tuu ndio nashangaa shangaa mataa