Ila nimelipenda goal la Suarez. Kajitahidi sana, yaani yesu wa mpira kila akifurukuta waaapi, mashuti yake langoni yalikuwa nyanya sana leo😁😁tena na yesu wa mpira akiwemo.
Ila sio mara ya kwanza kuadhibiwa na Barca kiasi hiki. Semi final ya 2012/13 walichapwa 7-0 so siwashangai wajerumani waleUtadhani vibaka
Jibebe😀😀3:00
Mambo... I missed youAbee
Nimeachwa solemba....Abee
Kwa Yesu..kwema?Mambo... I missed you
Pole Sana.. upweke mbaya sanaNimeachwa solemba....
Nasikiliza kibao cha Gorgina hapa kujiliwaza
Kwema Mungu ni mwema. Habari za hapo nyumbani na uncles zangu?Kwa Yesu..kwema?
Yaani we acha tu, itabidi nifanye usajili mpya sina namnaPole Sana.. upweke mbaya sana
Pole Sana.. upweke mbaya sana
Mnalinda safi sanaKwema Mungu ni mwema. Habari za hapo nyumbani na uncles zangu?
We mzee wa mitulinga, la chaz mida hii?🤗Nani yuko la chalz muda huu a
Yeah sisi ni walinzi hodariMnalinda safi sana
Embu vumilia hukoYaani we acha tu, itabidi nifanye usajili mpya sina namna