Hahahaha, umeanzaHiace au bus la mkoa kabisa?![]()
Tren ya Uhuru kabisaHiace au bus la mkoa kabisa?😂😂
Muda mwema rafikiMi ngoja niwakimbie maana nipo lindoni tangia saa saba.
Ngoja nibaki na chibonge yna2 ,mtoto wa....Mi ngoja niwakimbie maana nipo lindoni tangia saa saba.
Hahahaha, we ndio ukaamua kushuka ? Mbn unalijuaTren ya Uhuru kabisa
Sawa keshafika mlangoni, keshapokea amri ya kuvua kila kitu, mali zake kaweka pembeni alafu kwa upopo huo + tungi usingizi huo. Funguo atachukua na kusepa unakuja kushtuka mtuhumiwa hayupo😂😂😂We funguo ninazo mm ,tatizo mtuhumiwa bata sana
Hahahaha
Haha..sijawahi panda tren lako mieHahahaha, we ndio ukaamua kushuka ? Mbn unalijua
Inatosha, twendw gymTeh teh!!..malizia
Hahahaha, hkn aliywahi kupandaHaha..sijawahi panda tren lako mie
🙄🙄Hahahaha, hkn aliywahi kupanda
Hahahaha, huyu mtuhumiwa wa unit 15, akiingia hatoki, nidhamu,adatu ,utii ,tatizo bata tuSawa keshafika mlangoni, keshapokea amri ya kuvua kila kitu, mali zake kaweka pembeni alafu kwa upopo huo + tungi usingizi huo. Funguo atachukua na kusepa unakuja kushtuka mtuhumiwa hayupo![]()
Najua ,ila....
Langu rohoni
Subiri nakuja
4:41
Najisikia kula kula tu
Unakujaje kujaje Kwanza..tuanzie hapoSubiri nakuja
Si ya kuongea hapaUnakujaje kujaje Kwanza..tuanzie hapo
Mimi nimekwambia najisikia kula kula and not kuongea ongeaSi ya kuongea hapa