Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Muache atafute wakeEmbu vumilia huko
Muache atafute wakeEmbu vumilia huko
Uncles zako wazima kabisa..Kwema Mungu ni mwema. Habari za hapo nyumbani na uncles zangu?
Dah.... Sawa ila upweke unatesa wajua hilo na at the same time sitaki kuwa unfaithful.Embu vumilia huko
Atafute wangapi..avumilie mkewe atarudiMuache atafute wake
Ndio ndio ,nataka nipite na mtuhumiwa mmoja hapaWe mzee wa mitulinga, la chaz mida hii?![]()
We unae?😉Muache atafute wake
Sasa Kama hutaki kuwa unfaithful jikazeDah.... Sawa ila upweke unatesa wajua hilo na at the same time sitaki kuwa unfaithful.
Asante kwakunipa moyo. Let me be strongAtafute wangapi..avumilie mkewe atarudi
Sawa. Wacha nifunge dirisha la usajiriSasa Kama hutaki kuwa unfaithful jikaze
Dah mm najaza hiace, hapa yenyewe anasubiriwa MTU ,kaniweka guardWe unae?![]()
Namna hiyoAsante kwakunipa moyo. Let me be strong
Muda ushaenda sana, utajikuta mtuhumiwa anakutoroka baada ya kumuingiza korokoloni😂😂Ndio ndio ,nataka nipite na mtuhumiwa mmoja hapa
Naunga mkono hojaDah mm najaza hiace, hapa yenyewe anasubiriwa MTU ,kaniweka guard
Hahahaha, ngoja nikae kimya tuAtafute wangapi..avumilie mkewe atarudi
Ndomana nakupendaga, wajua kusimama kama mshauri😊😊Namna hiyo
Hahahaha, nilijua tu utaunga mkono hojaNaunga mkono hoja
Hiace au bus la mkoa kabisa?😂😂Naunga mkono hoja
Unajikuta samaki baharini au siyo..!! We ongea tuHahahaha, ngoja nikae kimya tu
😂😂😂🤸🤸🤸Hahahaha, nilijua tu utaunga mkono hoja
We funguo ninazo mm ,tatizo mtuhumiwa bata sanaMuda ushaenda sana, utajikuta mtuhumiwa anakutoroka baada ya kumuingiza korokoloni![]()