LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,507
Unakeshea wapi leo?.
Unakeshea wapi leo?.
Big siku hizi watu hawatongozi kwa style hii, mwambie dada samahani naomba unitumie account no yako nikuingizie 500 chap kama nauli ili tukutane somewhere tufahamiane zadi basi...haya ya unaishi wapi na nani, unafanya nini waachie polisi na taasisi nyingine za kufanyia watu mahojiano.



Mwali hujamaliza kusali tuAmen
Ubarikiwe sana
Nitakuombea pia
SijaanzaMwali hujamaliza kusali tu
Waoh ni mzuri ila mbona dance na usiku wote huu ...try Johnny Drille ft Simi -HalleluyaJonathan Nelson_I believe
Nimeplay all songsWaoh ni mzuri ila mbona dance na usiku wote huu ...try Johnny Drille ft Simi -Halleluya
0150
Umejaribu halleluya ya johhny drille?Nimeplay all songs
Zipo mchanganyiko
Jonathan Nelson_I believe