JamiiForums Usiku wa manane
117543398_3157839024253095_8837975155960514805_n.jpg
 
Ndoto zingine bana eti nimeshtuka saizi nilikuwa naota baada ya muda mrefu wa kutafuta beki 3 wa kusaidia kazi za nyumbani nimebahatika kumpata mmoja anatokea Ohio Marekani
 
Unaishi wapi dada
Big siku hizi watu hawatongozi kwa style hii, mwambie dada samahani naomba unitumie account no yako nikuingizie 500 chap kama nauli ili tukutane somewhere tufahamiane zadi basi...haya ya unaishi wapi na nani, unafanya nini waachie polisi na taasisi nyingine za kufanyia watu mahojiano.
 
Back
Top Bottom