East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,067
Sign In, 02:26 AM
Sign In, 02:26 AM
Unasumbuliwa na nini mkuu?Mwenye chochote cha kupunguza maumivu please!!
DepalBluce Melodie - Katerina![]()
Kidole limevimba,lina uma balaaaa!Unasumbuliwa na nini mkuu?
Ulilbona na nyundo? Pole pata pain killers tu kwa usiku huuKidole limevimba,lina uma balaaaa!
Hapana Sijui ndio wanaita Ndudu...Ulilbona na nyundo? Pole pata pain killers tu kwa usiku huu
Aah inatesa sana hiyo kama limeshaanza kuvuta wahi hospital baadaeHapana Sijui ndio wanaita Ndudu...