JamiiForums Usiku wa manane
Nimeangalia zote homecoming, Far from home, my favorite hero of all time Captain nimeangalia zote, guardian of the galaxy zote, Stranger, Avengers infinite war, Ant man, Thor, Iron man, Black panther, captain marvel nk..

Bact to the point umelisoma vizuri swali langu?

Stark amekufa nani ataongoza Avengers?

Captain yupo dunia gani?

Doctor stranger na maswali mengi kweli yani kwann amwambie stark amalize ule mchezo?

Sam kwann apewe ngao ya captain?

Hahaha kumbuka Tony Stark amemtrust Peter Parker awe mrithi wa Stark Industries hivyo pamoja na kwamba amekufa lakini kampuni yake haijafa, maana Peter naye anaaminika kuwa genius wa mambo ya technology kama Tony.

Captain yuko dunia hii hii tuliyopo aliporudisha zile Infinity Stones aliamua kurudi miaka ya nyuma ili akaishi na mke wake na ndiyo maana akarudi 2023 akiwa tayari mzee, kwa maana alirudi kuspend ile miaka ambayo alikuwa kwenye ice.

Hapo kwa Doctor Strange alimuambia Tony amalize ule mchezo sababu pale ndiyo ilikuwa nafasi pekee iliyobaki maana Thanos alikuwa anaelekea kusnap na avengers wengine walikuwa wamepigika wako chini, na Tony ndiyo alikuwa karibu na ndiye alikuwa ana uwezo wa kumnyang’anya Thanos infinity stones bila kumvua infinity gauntlet maana kumvua ilishashindikana na ndiyo maana Tony alitumia magnet kuzivutia mkononi kwake.

Kuhusu hapo kwa Sam nadhani ndiye mtu pekee ambaye Steve aliona anafaa kuwa Captain America maana they fought together and have been together in many missions kuliko alivyokuwa na Bucky halafu kumbuka Bucky ni Winter Soldier.
 
Nimeangalia zote homecoming, Far from home, my favorite hero of all time Captain nimeangalia zote, guardian of the galaxy zote, Stranger, Avengers infinite war, Ant man, Thor, Iron man, Black panther, captain marvel nk..

Bact to the point umelisoma vizuri swali langu?

Stark amekufa nani ataongoza Avengers?

Captain yupo dunia gani?

Doctor stranger na maswali mengi kweli yani kwann amwambie stark amalize ule mchezo?

Sam kwann apewe ngao ya captain?
Ili uelewe story, unatakiwa uzipange wakati wa kuziangalia maana haziendi kwa series,

Angalia kwa mtiririko huu (miaka matukio yalivokuwa yanatokea) ndio utazielewa

Captain America: The First Avenger (1945)

Captain Marvel (1995)

Iron Man (2010)

Iron Man 2 (2011)

The Incredible Hulk (2011)

Thor (2011)

The Avengers (2012)

Iron Man 3 (2012)

Thor: The Dark World (2013)

Captain America: The Winter Soldier (2014)

Guardians of the Galaxy (2014)

Guardians of the Galaxy 2 (2014)

Avengers: Age of Ultron (2015)

Ant-Man (2015)

Captain America: Civil War (2016)

Spider-Man: Homecoming (2016)

Doctor Strange (2016-2017)

Black Widow (2017)

Black Panther (2017)

Thor: Ragnarok (2017)

Ant-Man and the Wasp (2017)

Avengers: Infinity War (2017)

Avengers: Endgame (2018-2023)

Spider-Man: Far From Home (2023)

Baadhi ya majibu ya maswali yako utayapata
 
Hahaha mkuu kumbuka Tony Stark amemtrust Peter Parker awe mrithi wa Stark Industries hivyo pamoja na kwamba amekufa lakini kampuni yake haijafa, maana Peter naye anaaminika kuwa genius wa mambo ya technology kama Tony.

Captain yuko dunia hii hii tuliyopo aliporudisha zile Infinity Stones aliamua kurudi miaka ya nyuma ili akaishi na mke wake na ndiyo maana akarudi 2023 akiwa tayari mzee, kwa maana alirudi kuspend ile miaka ambayo alikuwa kwenye ice.

Hapo kwa Doctor Strange alimuambia Tony amalize ule mchezo sababu pale ndiyo ilikuwa nafasi pekee iliyobaki maana Thanos alikuwa anaelekea kusnap na avengers wengine walikuwa wamepigika wako chini, na Tony ndiyo alikuwa karibu na ndiye alikuwa ana uwezo wa kumnyang’anya Thanos infinity stones bila kumvua infinity gauntlet maana kumvua ilishashindikana na ndiyo maana Tony alitumia magnet kuzivutia mkononi kwake.

Kuhusu hapo kwa Sam nadhani ndiye mtu pekee ambaye Steve aliona anafaa kuwa Captain America maana they fought together and have been together in many missions kuliko alivyokuwa na Bucky halafu kumbuka Bucky ni Winter Soldier.
Unakumbuka wakati Stark na wanaona na Stranger kwenye End game mwishoni

Stark akamwambia stranger "you said we'll win 40 million then telling me now, what is it? Strange alijibu "If I tells you now then what? Alafu akasema it won't happen"

Kwahaya maelezo inaonesha stark alikuwa na hofi na vita alafu pili ni kwamba Stranger alijua ni nn kingetokea mbele na ndio alimjibu hivyo

Peter hawezi kuwa mrithi wa Stark

Alafu nikikurudisha kwenye winter soldier unakumbuka Captain akizungumza na Natalia? Nat alimuuliza hivi Captain umeishi miaka mingapi Cap alimwambia kuwa nilikuwepo toka vita ya kwanza. Kwa maana hiyo cap hazeeki kuongeza hiyo mingapi hapo tu ndio azeeke?
 
Ili uelewe story, unatakiwa uzipange wakati wa kuziangalia maana haziendi kwa series,

Angalia kwa mtiririko huu (miaka matukio yalivokuwa yanatokea) ndio utazielewa

Captain America: The First Avenger (1945)

Captain Marvel (1995)

Iron Man (2010)

Iron Man 2 (2011)

The Incredible Hulk (2011)

Thor (2011)

The Avengers (2012)

Iron Man 3 (2012)

Thor: The Dark World (2013)

Captain America: The Winter Soldier (2014)

Guardians of the Galaxy (2014)

Guardians of the Galaxy 2 (2014)

Avengers: Age of Ultron (2015)

Ant-Man (2015)

Captain America: Civil War (2016)

Spider-Man: Homecoming (2016)

Doctor Strange (2016-2017)

Black Widow (2017)

Black Panther (2017)

Thor: Ragnarok (2017)

Ant-Man and the Wasp (2017)

Avengers: Infinity War (2017)

Avengers: Endgame (2018-2023)

Spider-Man: Far From Home (2023)

Baadhi ya majibu ya maswali yako utayapata
Hakuna movie nimeacha hapo mzee wangu nimefagia zote ila acha tu haya maswali. Maana hapo sijakuingizia kwenye Galaxy hizi movie ni changamoto tuache tu.
 
Yes boo
Screenshot_20200721_204250_org.videolan.vlc.jpg
 
Back
Top Bottom