JamiiForums Usiku wa manane
Nazimaje simu sasa sizimi, cz hawezi kunipigia huyo memba ,maana namba hana,au namwambia sikuoni ,hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hiyo inakuwa c vyema. You better meet him/her, grab the glasses of beer together, mpige stories usiku upite mshakuwa marafiki wa hatua nyingine zaidi ya hapa lindoni.
 
Captain yupo wapi baada yakurudisha ngao kazeeka lakini dunia nyingine kijana!

Captain ngao kamuachia Sam?

Stark amekufa nani ataongoza Avengers?

Natalia?

Doctor stranger kwann alimuambia stark achukue yale mawe na kwann stark alimwambia "hey buddy you said we will win 40 million then tell me now what is it" ?

Stranger akamwambia "if I tell you now what is it! Then akamwambia it won't happen?

Wale watu wa Guardian of the Galaxy ndio wananivuruga kabisa.

Inanichanganya inanivuruga acha tu.

Ukiangalia zote kuanzia Iron Man ya kwanza hadi Avengers Endgame utaelewa maana zote zina connection na utapata majibu ya hayo maswali
 
Back
Top Bottom