Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Ananagaika kama jogoo aliyekosa mtetea.Kweli bro
Ananagaika kama jogoo aliyekosa mtetea.Kweli bro
Ndugu yangu mzima wewe......!Heshima yako mkuu
Nmeshakarbia mzee, hizi playlist za moto sanaKaribu kwenye Playlist![]()
Mzee wewe mchawi sana, hapa naangalia ya sean paul iliyopo slow sioni tena 😂Sean Paul - how deep is your love![]()
Nimecheka coz hii nyimbo nilikuwa nikipiga mpwa wangu lazima apande juu ya meza acheze

I miss her a lot 
Kumekucha kumekucha.kuna mambo humu
Nipo salama kabsa ndugu yangu,Ndugu yangu mzima wewe......!
Habari za masiku
Nimekuachia za clubMzee wewe mchawi sana, hapa naangalia ya sean paul iliyopo slow sioni tena![]()



Ooooooh hapo sasa utanfanya nipagaweeeeh uwiiiiiiiih
Hajawahi niangusha kabisa Playlist yake huwa nakumbuka utoto wanguNmeshakarbia mzee, hizi playlist za moto sana


Ucjali mamaaaaOoooooh hapo sasa utanfanya nipagaweeeeh uwiiiiiiiih
Hahahaha, basi natuma Dereva mwingine aje na HarrierAaaaah daddieeh unaniangusha bhanaaaah, kweli The Kilimanjaro natoka na boda uwiiiiiiih![]()
.Ha ha mpwa alikuwa anafeel ile beat, sema Offset ni mtu mbaya sana, humu alitulia vilivyoNimecheka coz hii nyimbo nilikuwa nikipiga mpwa wangu lazima apande juu ya meza achezeI miss her a lot
![]()