Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Mnajificha sanaTupooooo
Mnajificha sanaTupooooo
Aisee wewe hulali kwakweli nitajitahidi leo tukae wote lindoni mpaka lukwiriii...Naona walinzi mmesizi leo

Sawa..usiku ukifika nishtue tukesheAisee wewe hulali kwakweli nitajitahidi leo tukae wote lindoni mpaka lukwiriii...![]()
"Yesu unikumbuke".ukimtumia nauli then simu yake isipatikane inabidi ujipooze na wimbo gani wakuu
Nina baba yangu asiyeshindwa kamwe.
Nina baba yangu asiyeshindwa kamwe.
Yesu ni baba yangu asiyeshindwa kamwe![]()






Kesho nakupeleka studio ukarekodi amuNina baba yangu asiyeshindwa kamwe.
Nina baba yangu asiyeshindwa kamwe.
Yesu ni baba yangu asiyeshindwa kamwe![]()
cocastic
Naaamcocastic
Naunga mkono hojaLeo zamu yangu kulinda mie, namtafuta na mwingine m1 tupeane company, kuhakikisha usalama wa JF.
Eti eeeeehNaunga mkono hoja
Mingine si ndio Mimi auLeo zamu yangu kulinda mie, namtafuta na mwingine m1 tupeane company, kuhakikisha usalama wa JF.
Eti eeeeeh baaas poaaaah usijariiiihMingine si ndio Mimi au
Kabisa yani.Eti eeeeeh
Sasa tumelikuta waziMbona mnachezea gate aisee
Mkuu hawa waliopo juu ya mti ?Saa hizi hata kuku bado hawajarudi ?
MamboNaaam
Poaaaaaah tyuuuhMambo