Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,247
- 90,427
Hahahaha.ukimtumia nauli then simu yake isipatikane inabidi ujipooze na wimbo gani wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.ukimtumia nauli then simu yake isipatikane inabidi ujipooze na wimbo gani wakuu
Kama tumelala vile kumbe tunakozoom tu unavyokatiza hapaNaona walinzi mmesizi leo
Unaucheza au unatikisa kichwa tu???Nina baba yangu asiyeshindwa kamwe.
Nina baba yangu asiyeshindwa kamwe.
Yesu ni baba yangu asiyeshindwa kamwe![]()
Yesu nipeleke kule mbinguni kuna raha ajabu.Unaucheza au unatikisa kichwa tu???
Hivi kuna raha zaidi ya ile......Raha za mbinguni siyo za mwili.........so hiyo "ile....." unayoiongelea ingekuwa tamu zaid kama mbinguni ingekuwa tunaenda na miili yetuYesu nipeleke kule mbinguni kuna raha ajabu.
Raha ajabu jamani.
Hivi kuna raha zaidi ya ile......