Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
0
3
1
1
3
1
1

Tupo mkuuNani yuko macho?
Niko lindoNi kuangalia series maana si kawaida yako mida hii![]()

Wewe??Hapo mwizi mbona hasumbuki kuiba


aah wapi! Nimetoka kuwakimbiza muda sio mrefu

Usiku wa manane
3:22
aah wapi! Nimetoka kuwakimbiza muda sio mrefu
![]()
Tatizo sio saa, mchawi mtandao.Hiyo saa yako mbona ina lag kidogo![]()


Kimvua kimepita na mtandao
Tatizo sio saa, mchawi mtandao.
Ngoma ina load muda mrefu. Lol
Kabisa mkuu.Kimvua kimepita na mtandao

Kabisa mkuu.
Mpaka natamani kuwapigia customer care