Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Inapendeza sana. Mungu amjaalie afya njemaAnaendelea vizuri.
Inapendeza sana. Mungu amjaalie afya njemaAnaendelea vizuri.
Amina.Inapendeza sana. Mungu amjaalie afya njema
Unauguza?Anaendelea vizuri.
Mama mzaa chema ni muhimu ajaliwe.Amina.
Ahsante kwa kujali![]()
NdiyoUnauguza?
Hahahaha..inapendeza.. ahsante.Mama mzaa chema ni muhimu ajaliwe.
Hahahaha, ni kweli kabisa, tupange tukamuone bi mkubwa wa Rafiki yetu YnaMama mzaa chema ni muhimu ajaliwe.
Poleni sana kwa kuuguza, nitakuja kumuona na kumletea zawadi kdg, jmosNdiyo
Sisi hapa ni jamii moja hivyo ni muhimu kupeana moyo kwenye changamoto mbalimbaliHahahaha..inapendeza.. ahsante.
Sawa sawaSisi hapa ni jamii moja hivyo ni muhimu kupeana moyo kwenye changamoto mbalimbali
Kwakweli..ila nawashukuru Sana..you ..nchakali..iceberg9..mbarikiwe Sana.Sisi hapa ni jamii moja hivyo ni muhimu kupeana moyo kwenye changamoto mbalimbali
Jmos gharama zote juu yanguKweli mkuu, inabidi hilo suala lifanyike kuonyesha umoja wa walinzi
Ahsante Sana..karibu.Poleni sana kwa kuuguza, nitakuja kumuona na kumletea zawadi kdg, jmos
Oooh kumbe roaster ishatoka,simoKwakweli..ila nawashukuru Sana..you ..nchakali..iceberg9..mbarikiwe Sana.
Hata mimi simo isitoshe jmosi tutaweka kambi taifa kabla ya mbungi ya jpiliOooh kumbe roaster ishatoka,simo