Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Endelea kulimissNimemiss pindo lako Lile la yesu ndie mwamba..
Nifanyie hisani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kulimissNimemiss pindo lako Lile la yesu ndie mwamba..
Nifanyie hisani..
Ha ha! Kwa lugha nyengine ndio kuwa siipati hisani..??
Subiri hadi akirudi masihiHa ha! Kwa lugha nyengine ndio kuwa siipati hisani..??
Najikaza kisabuni niambie nilikosea wapi..??
Mara hii majibu yako yamekuwa yakikatili mpk naona kabisa Mimi ni mkosaji!!.. ila kuna kitu nahisi!!
Mara hii majibu yako yamekuwa yakikatili mpk naona kabisa Mimi ni mkosaji!!.. ila kuna kitu nahisi!!







Fanya kunisamehe basi maana duh! Najiona nahatia kabisa!..
Wewe uko macho! Kuna wengine wako pua!Ambao tuko macho emu tujihesabu
Kama bado hujagundua tatizo na hujalisovu Basi jua hilo ni tatizoFanya kunisamehe basi maana duh! Najiona nahatia kabisa!..
Hata yesu alisema samehe 7 Mara 70!..
Anne hulali asee nawe unakomaaa?Kama bado hujagundua tatizo na hujalisovu Basi jua hilo ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
😅Kama bado hujagundua tatizo na hujalisovu Basi jua hilo ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nashukuru
Unataka niitangazie dunia ndo ujue nalijua!.. nimeweza ku sense do you think I don't know..??
That why nimeanza na samahani!..
Okay tukatishe hayo.. NAKUPENDA!..
"MPENDE AKUPENDAE"