Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
3:51Njoo lindoni![]()
Ya usiku wa jumatano hiyoHii ni ya lini kumbe? Sikuiona kabisa
Kweli nilipotea. J5 ya jana?Ya usiku wa jumatano hiyo
Yes ya Jana..kwemaKweli nilipotea. J5 ya jana?
Karibu kwenye ile mida yetu pendwa
Hahahaha, sawa sawa nimeipenda hii
Kwema, vp bimkubwa wetu anaendeleaje?Yes ya Jana..kwema
Tupo mzee. Vp ulikuwa umetekwa ndio umeachiwa?Walinzi mko wapi ?


Hahahaha, ndio muda huu wa kutekwa ,Leo nipo Galapo /Masai ,Ilala hapaTupo mzee. Vp ulikuwa umetekwa ndio umeachiwa?![]()
Leo itabidi niwe mlinzi wako tukatekwe woteHahahaha, ndio muda huu wa kutekwa ,Leo nipo Galapo /Masai ,Ilala hapa
Usiogope kutekwa piga filimbiHahahaha, ndio muda huu wa kutekwa ,Leo nipo Galapo /Masai ,Ilala hapa
MTU km mm nilifuzu mapigano niogope kutekwa? Hatekwi MTU wala filimbi haipigwiUsiogope kutekwa piga filimbi
Hahahaha, sasa Leo natekwa ilala huku ,hatari tu ,km uko Syria vileLeo itabidi niwe mlinzi wako tukatekwe wote
Huo ndiyo utaalamu sasa, askari haogopi vitaMTU km mm nilifuzu mapigano niogope kutekwa? Hatekwi MTU wala filimbi haipigwi
0416 Ipe salamu0415
Naona sura ngeni lindoni
Anaendelea vizuri.Kwema, vp bimkubwa wetu anaendeleaje?