JamiiForums Usiku wa manane
Baba anakoroma, mtoto anakoroma.
Wanasababisha nisilale hawa.
Wanaume tabia za kukoroma nani kawafundisha?

Nimezungukwa na mashine za kusaga ndani kwangu...
Mikoromo siyo ya nchi hii.
Hakuna kitu/tabia ambayo sipendi kama kulala na mtu anayekoroma.

Huwa nakeleka sana

Pole
 
Back
Top Bottom