Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,164
- 18,675
Roger that 🎙Ingia ndani nipo kwa ndani naimalisha lindo
Roger that 🎙Ingia ndani nipo kwa ndani naimalisha lindo
Njoo na konyagi kubwa ya kutoa baridiRoger that![]()
Ushawahi kuyapanda?Kwa picha ninayafahamu mkuu.
Imeisha hiyo, unapiga dry??Njoo na konyagi kubwa ya kutoa baridi
Dry mpwaaImeisha hiyo, unapiga dry??
Ingia na viatu vyakoHodi
2:09
Hapana, kazi yetu tunaipenda0012 walinzi wamechoka kazi
Na wewe utakua unakoroma tuuBaba anakoroma, mtoto anakoroma.
Wanasababisha nisilale hawa.
Wanaume tabia za kukoroma nani kawafundisha?
Nimezungukwa na mashine za kusaga ndani kwangu...
Mikoromo siyo ya nchi hii.
Na wewe una koroma sema hujajishtukia. Kuna mtu ilibidi nimrekodi asubuhi ndio akaelewa ananisema sema wakati yeye ndio gwiji wa kukoroma kama jenereta, sijawahi msikia tena akilizungumzia hiloBaba anakoroma, mtoto anakoroma.
Wanasababisha nisilale hawa.
Wanaume tabia za kukoroma nani kawafundisha?
Nimezungukwa na mashine za kusaga ndani kwangu...
Mikoromo siyo ya nchi hii.