MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,451
- 69,321
Kazi ngumu sana hii ya kulinda , kushindana na usingizi ni sawa sawa na kuzui mafurikoNaunga mkono hoja
Nimepanga foleni hapa getini kabisa.Sioni walinzi maeneo ya saba saba
Ingia ndani nipo kwa ndani naimalisha lindoNimepanga foleni hapa getini kabisa.
Kwa picha ninayafahamu mkuu.