Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,209
- 99,959
Mbona meseji zote LinkedIn naona nimezijibu? Hebu tuma tenaNi wewee mkuu na CV nilikutumia kabisaaaaa ila kimyaaa kimyaaa![]()
Mbona meseji zote LinkedIn naona nimezijibu? Hebu tuma tenaNi wewee mkuu na CV nilikutumia kabisaaaaa ila kimyaaa kimyaaa![]()
Poa mkuu ninafanya hivyo.Nisamehe sana sana Kaka! Sikujibu kitu? Dah stress na uzeee unaninyemelea pengine, nisamehe sana sana nimejisikia vibaya. Njoo LinkedIn nipe hio meseji tena. Niko online kwa muda muda kidogo
Unaona hio ya last week?Leo Mbeya kuna joto kitu inasoma 12°View attachment 1494925
Masiala hayo mkuu01:54 vipi nifunge lindo?
Daaa kaka.Hio baridi ya Hapa Makete unaweza kujikuya huna "kande" zimerudi tumboni kutafuta joto
02:03
Nahamia Chattel, sikubali aiseeeee ila dahDaaa kaka.
Bora hata kwa Trump.
Jimbo nililoenda kipindi hiki ni joto.
Si hapo makete.
Hapo nyumba inahita? Au majiko ya kuni ndani kuleta joto?