Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Huwez elewa ndioNaona hutaki nikuelewe.
Huwez elewa ndioNaona hutaki nikuelewe.
Ngoja tusubiri, nimeshapiga "al Qasus" yangu vikombe viwili hapa mwapesi ajabu.Muda si bado hii ni dalili ya mawingu tayar
Kichwa changu kigumu mno.Huwez elewa ndio
Subiri waje shekhe'Kichwa changu kigumu mno.
Poa.Subiri waje shekhe'
Lindo jema
Dah basi banaSubiri waje shekhe'
Lindo jema
Mkuu naona umegoma kujibu DM yangu LinkedIn [emoji124][emoji124]Vipi mnakesha tukeshe au mnalala? 12:46
Wasalimu12:15
Nilikuwepo
Duh! Kwa jina gani watumia? Hebu Njoo PMMkuu naona umegoma kujibu DM yangu LinkedIn [emoji124][emoji124]
@Goddess nimekukumbuka aise.Subiri waje shekhe'
Lindo jema
Sawa mkuu[emoji28]Duh! Kwa jina gani watumia? Hebu Njoo PM
Mpwa ni Mimi kweli au mtu mwingine?? Mimi najibu sanaMkuu naona umegoma kujibu DM yangu LinkedIn [emoji124][emoji124]
Ni wewee mkuu na CV nilikutumia kabisaaaaa ila kimyaaa kimyaaa[emoji28]Mpwa ni Mimi kweli au mtu mwingine?? Mimi najibu sana
Nisamehe sana sana Kaka! Sikujibu kitu? Dah stress na uzeee unaninyemelea pengine, nisamehe sana sana nimejisikia vibaya. Njoo LinkedIn nipe hio meseji tena. Niko online kwa muda muda kidogoNi wewee mkuu na CV nilikutumia kabisaaaaa ila kimyaaa kimyaaa[emoji28]