Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 298
- 396
3:51
Ndo ikawa hvyoDah basi bana
Mtaachanaaaaaa tu na huyo anayekupa usingizi [emoji28][emoji28]Mimi nimestaafu ulinzi.
Usingizi mtamu sana jamani.
Balaaaa mkuuHio baridi ya Hapa Makete unaweza kujikuya huna "kande" zimerudi tumboni kutafuta joto
02:03
Ni ya sehemu gani hii mkuu?Unaona hio ya last week?
Makete ChiefNi ya sehemu gani hii mkuu?
I see. Huko si unaganda kabisa. Ndio maana ngoma inatafuna sana pande hizoHio baridi ya Hapa Makete unaweza kujikuya huna "kande" zimerudi tumboni kutafuta joto
02:03
Hahahaha unaweza kujikuta umelala na "jirani" yakoI see. Huko si unaganda kabisa. Ndio maana ngoma inatafuna sana pande hizo