Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Kwani Kaboom na Cole Williams wanasemaje kwenye hili?Wakuu sorry for interruption, kuna mjadala kidogo hapa nipo na ndugu yangu tunabishana nani mkali kati ya hawa:
Kendrick Lamar v J Cole
Nimeona nilete huu mjadala hapa kwa wazee wa kukesha ili tuondoe ubishani huu.
Tunaomba majibu matano (5) tu kwa comment 5 zinazofuata. Atakaepata frequency kubwa ndio yuko vizuri.
NB: Naomba wajibu wanaojua, na kama kuna sababu tuwekee.
Karibuni!![emoji114]
Mie kwa upande wangu naona Kendrick Lamar ndiyo mkali zaidi!