@yna2 vp leo halftime hiyo au maandilizi ya kwenda ibadani?Level sit..tunaoteseka ni sisi tunaokaa vituo vya Kati.
Huyu yupo halftime sasa ndio mida yake hii anapasha misuli moto kurudia ngwe ya pili
Haha..hamna naelekea hospitali@yna2 vp leo halftime hiyo au maandilizi ya kwenda ibadani?
Uwiiii...sipo halftime ungejua nipo kwenye daladala mwenzio.Huyu yupo halftime sasa ndio mida yake hii anapasha misuli moto kurudia ngwe ya pili
Kwa hiyo hujamaliza mchezo hadi dakika 90?Haha..hamna naelekea hospitali
Kama inawezekana..ila kwa ajili yangu tuUnataka tusimamishe.?
Sina hamu hata na huo mchezoKwa hiyo hujamaliza mchezo hadi dakika 90?
Kwema hospital?
😀😀😀😀
Duh ya kweli hayo au ni maneno ya kubofyabofya?Sina hamu hata na huo mchezo
Kwema kiasi..
Ya kweliDuh ya kweli hayo au ni maneno ya kubofyabofya?
Unaumwa au una mgonjwa?
😂😂😂😂tutakimbiana
hapa
Ya kweli
Nina mgonjwa..Mama angu
Pole sana. Tunamuombea bi mkubwa wetu Mungu amfanyie wepesi.Ya kweli
Nina mgonjwa..Mama angu
Ahsante Sana.Pole sana. Tunamuombea bi mkubwa wetu Mungu amfanyie wepesi.
Ahsante Sana.Pole kwa kuuguza, msalimie mama!