JamiiForums Usiku wa manane
Kuna swali huwa najiuliza hivi inakuwaje humu "jf" mabinti walio wengi huwa wana "likes" nyingi sana kuliko "maoni" yao ? Yaani unakuta binti :

Messages : 215
Reactions : 4561

Na kuna hawa wadau wengine,nao huwa wananifikirisha sana :

Messages : 10462
Reactions : 715

Hatari kabisa ....
 
Mind your biz'

🏃🏃
 
Watu huenda mbugani kushangaa swala
 
Wakuu sorry for interruption, kuna mjadala kidogo hapa nipo na ndugu yangu tunabishana nani mkali kati ya hawa:

Kendrick Lamar v J Cole

Nimeona nilete huu mjadala hapa kwa wazee wa kukesha ili tuondoe ubishani huu.

Tunaomba majibu matano (5) tu kwa comment 5 zinazofuata. Atakaepata frequency kubwa ndio yuko vizuri.

NB: Naomba wajibu wanaojua, na kama kuna sababu tuwekee.

Karibuni!!
 
Back
Top Bottom