Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,252
- 90,446
Huwa nini hy umetaja nasikia sana ikitamkwaHapa nina al Qasus tu, hatunywi chai siku hizi.
Mje na chai yenu kabisa.
Huwa nini hy umetaja nasikia sana ikitamkwaHapa nina al Qasus tu, hatunywi chai siku hizi.
Mje na chai yenu kabisa.
Kinywaji mbadala wa chai na mfano wake.Huwa nini hy umetaja nasikia sana ikitamkwa
Ushatepeta mzeeAlamsik!
Mzee cha R chuga nini?Ngoja nichome kitu kdg, naona mmekumbatiana
Hahahaha, kitu sikanka ,shada shadaMzee cha R chuga nini?
Wamechanganya majivu na mavi ya sungura?Hahahaha, kitu sikanka ,shada shada


Hahahaha, hii kitu ntaWamechanganya majivu na mavi ya sungura?![]()
Hahahaha, nilishikiliwa hadi SAA saba mchana, ikabidi nitoe ransom kdg kufidia muda ambao nilishikiliwaHalafu mkuu mtu chake hukuniambia wale waliokuteka mlimalizanaje au ulitoa ransom ya aina yake?
Hahahaaa! Kwa nini tusitekwe wote mkuu?Hahahaha, nilishikiliwa hadi SAA saba mchana, ikabidi nitoe ransom kdg kufidia muda ambao nilishikiliwa
Ila nadhani week end hii mateka najipeleka mwenyewe na ransom yangu kabisa,waniteke tena
Hahahaha, itakua jambo jema maana kambini kwako pako pazuri pakishua Fulani HV MTU huamini km wanakaa watekajiHahahaaa! Kwa nini tusitekwe wote mkuu?
Kama hakuna majeraha na mimi nahitaji kutekwa nijipeleke mwenyewe kama mmbwa kwa chatu.Hahahaha, itakua jambo jema maana kambini kwako pako pazuri pakishua Fulani HV MTU huamini km wanakaa watekaji



Hahahaha, mtekaji ana hakikisha mtekwaji anatoka salama saliminiKama hakuna majeraha na mimi nahitaji kutekwa nijipeleke mwenyewe kama mmbwa kwa chatu.![]()
Na hapo na msosi mzuri anakuandalia. Huo utekaji naomba uhalalishwe manHahahaha, mtekaji ana hakikisha mtekwaji anatoka salama salimini
Huwa inanoga sanaa .. nae kuna siku huwa nisipifanya kwa mda mrefu hivyo huwa namuona kabisa ana miss hiyo utaratibu.. unakuta anatengeza mazingira sasaSafi sana, niliwahi kumfanyia hivi siku moja