Naomba useme chochote.Abee
Naomba useme chochote.Abee
Wewe ukisema inatosha...nikajua umeniita.Naomba useme chochote.
Umechelewa kuitikia wito, huu wito siyo wa leo wala jana, nahisi ni wa siku kabla ya jana.Wewe ukisema inatosha...nikajua umeniita.
Umeitika kwa adabu zoteAbee
Kumbe? Basi endelea kuita na leo naweza itika.Umechelewa kuitikia wito, huu wito siyo wa leo wala jana, nahisi ni wa siku kabla ya jana.
Mzima lakini ?



Kaniletee ile kitu niliyo isahau pale mezani.Kumbe? Basi endelea kuita na leo naweza itika.
Mimi sijambo, maswali mengine![]()
Sina jinsi....anastahiliUmeitika kwa adabu zote
Njoo uchukue...au mtume Amira akuleteeKaniletee ile kitu niliyo isahau pale mezani.
Bora nije kabisa, huyo atachelewa. Nikija huko ujue huku ndiyo sirudi tena.Njoo uchukue...au mtume Amira akuletee
Bado mapema, endelea na lindo.Bora nije kabisa, huyo atachelewa. Nikija huko ujue huku ndiyo sirudi tena.
Nakuja....
Hapana hiyo kitu ni bora kuliko kulinda na hili lindo kwa ujumla, acha nije tu, akili isharuka na kichanganyika vibaya mno.Bado mapema, endelea na lindo.
Kumbe ni majirani kabisaBora nije kabisa, huyo atachelewa. Nikija huko ujue huku ndiyo sirudi tena.
Nakuja....
Subiri aje akujibu.Kumbe ni majirani kabisa
VanessaUpon the bridge
My heart does beat
Between the waves
We will be saved
The air we breathe
Can you believe?
Learn to forgive upon the bridge
![]()