JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaha, SAA hz wanatafuta cha asubuhi
😀😀😀😀.. cha asubuhi huwa namsubiri manzi wangu kasha jiandaa kila kitu na kuvaa kwenda ofisini, ile ananiaga tu, namdaka yaaani 😀😀😀😀😀.. analalamika wee lakini ndio ivyo nae mwenyewe ashazoea yaani kautaratibu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. cha asubuhi huwa namsubiri manzi wangu kasha jiandaa kila kitu na kuvaa kwenda ofisini, ile ananiaga tu, namdaka yaaani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. analalamika wee lakini ndio ivyo nae mwenyewe ashazoea yaani kautaratibu
Safi sana, niliwahi kumfanyia hivi siku moja
 
Back
Top Bottom