Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Gud tu fam [emoji109]Mambo vp watu wa MUNGU!
Gud tu fam [emoji109]Mambo vp watu wa MUNGU!
ha ha ha ha najua nikienda kulala saa 11 nitaanza kuota ndoto nzuri; wale waliolala mapema si ajabu sasa hivi wanaota ndoto za kukimbizwaNdio upo macho umeamua kuzi subiria sio?
Aluta kontinyowàlinzi mpo gado?
Noma mkuuUjalala tu we mzee [emoji4] unapambana na baridi umeamua
Utalala weweWote hoi meshalala mapema hivi [emoji23][emoji23][emoji23] kwisha habari yenu.
Kama kawaida tupo kwenye majukumu yetu.wàlinzi mpo gado?
[emoji23][emoji23][emoji23] Huwa sizipendi hizo ndoto kabisa bora uote unakula bata unamijengo yako ndinga kali nk.. Ukiamka asubuhi unajikuta uko na mia yako mbovu.ha ha ha ha najua nikienda kulala saa 11 nitaanza kuota ndoto nzuri; wale waliolala mapema si ajabu sasa hivi wanaota ndoto za kukimbizwa
Hii ngoma nzito halali mtu hapa saiz.Utalala wewe
Subiria kuganda tu huko ulipo kama unalala peke yako [emoji23][emoji23][emoji23]Noma mkuu
Sent using [emoji106]
Basi tupo pamoja kiongozi hadi mtondogooHii ngoma nzito halali mtu hapa saiz.
Mkuu umenikumbusha hili neno zamani tulikuwa tunadanganywa maana yake ni kwamba karuka kautimua.Aluta kontinyo
Gud Gud.Basi tupo pamoja kiongozi hadi mtondogoo
Mapambano yanaendeleaMkuu umenikumbusha hili neno zamani tulikuwa tunadanganywa maana yake ni kwamba karuka kautimua.
Najua hiko ni kireno mkuu hizo zilikuwa mambo za àkina Samora MasheliMapambano yanaendelea
Nimesikia kunakupatwa kwaa jua piaLeo ndio siku ya kina baba sasa sisi tusiokuwa mafather inabidi tutulie hakuna namna.
Aaah hiyo imenipita sijaisikia hata ukiwa bachelor ndio mambo kama haya napishana nayo muda wa saa 2 nipo jikoni na rekebisha na ndio muda wa taarifa ya habari loh [emoji4]Nimesikia kunakupatwa na jua pia
Pole chifu jf ni zaidi ya habari 📺Aaah hiyo imenipita sijaisikia hata ukiwa bachelor ndio mambo kama haya napishana nayo muda wa saa 2 nipo jikoni na rekebisha na ndio muda wa taarifa ya habari loh [emoji4]