Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,583
- 53,332
Yes ice
Umenirudisha nyuma sana kumbukumbu.Jerusalem—— Alpha Blondy [emoji445][emoji442]
Hajafanya kitu, ila faru mbowe ilimvunja mguu
Fav song hii kwangu..
ngapi hukoTeam yangu Arsenal ni kipengele [emoji17]
Tatu kavu mzee wangu.ngapi huko
Arsenal kama demu basi ni mwenye msambwanda[emoji23] kila mtu anamtamani!Team yangu Arsenal ni kipengele [emoji17]
[emoji23][emoji23] Bora league ingefutwa tu tungesubiri August ianze na upya.Arsenal kama demu basi ni mwenye msambwanda[emoji23] kila mtu anamtamani!
Duuh kipigo cha mbwa koko hikiTatu kavu mzee wangu.
😂Arsenal kama demu basi ni mwenye msambwanda[emoji23] kila mtu anamtamani!
Cap kubwa kabisa hii.Duuh kipigo cha mbwa koko hiki
Team inakatisha tamaa sana hii [emoji17]
Usicheke tushadharilika mzee wangu league tunafungua na kipigo kizito hivi [emoji17]
Usiweke moyo hapo utakufa[emoji23]Team inakatisha tamaa sana hii [emoji17]