Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Hapo mtakujaHahahaha, hapa mgeni nani ?
Hapo mtakujaHahahaha, hapa mgeni nani ?
Hahahaha nimeipenda mgeni nani full lami ,Leo nalinda hukuHapo mtakuja
Mimi sio mtabiri. Ndio ufunguke sasa. Maana wewe una mambo mengi. Inaweza kuwa rehab ya kile chama chako na mng'atoUnajua ilikuwa ni rehab ya nn? [emoji4]
Mambo si hayo sasa [emoji38][emoji38] we tuma tu mimi na shusha nazozikibali
Sawa ukimaliza huko uje na huku mbondole.. ukaribie kichuri.Hahahaha nimeipenda mgeni nani full lami ,Leo nalinda huku
🤣🤣🤣🤣 nimekuachia ww kiti.Mimi sio mtabiri. Ndio ufunguke sasa. Maana wewe una mambo mengi. Inaweza kuwa rehab ya kile chama chako na mng'ato
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlinzi mtiifu sana weweAmen.
Nielekeze vzr ,Niko kweli mitaa hiiSawa ukimaliza huko uje na huku mbondole.. ukaribie kichuri.
😂😂😂Mlinzi mtiifu sana wewe
Wewe na mng'ato kuacha ni sawa na ngamia kupenya tundu ya sindano[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekuachia ww kiti.
Tukutane mida yetu ileeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Naaga ivyo.
😀😀Nielekeze vzr ,Niko kweli mitaa hii
😂😂😂
Hahahaha, nikipotea shauri yako[emoji3][emoji3]
Linda vyema.
Nitakuwa hapa kukusubiri. Ila huwa napata wakati mgumu sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119]