Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,252
- 90,446
Hahahaha, ungejua ningeunga ,karibu kwa mangi basiHata sijui
Hahahaha, ungejua ningeunga ,karibu kwa mangi basiHata sijui
Nitafanya chaguziUtaziweza nyimbo zangu kweli![]()
Hiki kitangazo kina......
We mzee ndio nn hii.
Si upo rehab unatafuta nini huku?Nyimbo ya Khalid nayopenda ni OTW![]()
Hahahaha, safi sana Ukiipata ramani niambie nije nami kutazama viuno hivyoSitamani kunywa natamani tu kuangalia watoto wazuri wanakata viuno..
na kusikiliza music mzuri.
Siku hizi nakunywa kahawa na chai tu
Namba yako ya WhatsApp ni ipiHizi nyimbo nitumieni whatsap basi,
nna Simu La kipuuzi halidownload nyimbo
Unajua ilikuwa ni rehab ya nn?

Nasubiri jibupoa poa
Hahahaha, wapi hukoRuuukaaaa kimaasai..
12:08
Hapo hapo ulipoHahahaha, wapi huko
Lindo na nyimbo za injili kiroho na kimwili tunajilinda, moja ya nyimbo bora kabisa
Hahahaha, hapa mgeni nani ?Hapo hapo ulipo