Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
upo likizo ya nn tena mzee wangu wakati saiz watu ndio wanfanya kazi sasa?Nipo likizo
upo likizo ya nn tena mzee wangu wakati saiz watu ndio wanfanya kazi sasa?Nipo likizo
Hujasikia habari za maombolezo mkuuupo likizo ya nn tena mzee wangu wakati saiz watu ndio wanfanya kazi sasa?




wanasema ikifika saa 8 mpaka 9 kutakuwa na likizo ya muda mfupi.Naona mmeanza lindo mapema kabisa.
Wa mananeUsiku
burundi au maombelezo yapi hayo?Hujasikia habari za maombolezo mkuu
Huku tupo na kilimo cha korosho tuLeta khabari.
wanasema ikifika saa 8 mpaka 9 kutakuwa na likizo ya muda mfupi.
Burudi bossburundi au maombelezo yapi hayo?
Nazani ile kwayaya kijitonyama ndio kwaya bora kwa muda wote.Usiku wa manane _AIC Chang'ombe Choir![]()
tunaenda na kasi ya awamu ya 5 😆 😆 😆 😆Hivyo mmefidia muda, duuh nyie watu werevu sana.
Tunaishukuru sana selikali kwa kwelitunaenda na kasi ya awamu ya 5![]()
![]()
![]()
![]()
Basi kama upo huko itakuwa vyema utakuwa unatuwakilisha na ss watu wa JF usiku wa manane.Burudi boss
tunaenda na kasi ya awamu ya 5![]()
![]()
![]()
![]()
Ngoja tuone atakuja na slogan ipi nyingine maana naona ya viwada imebuma!Tunaishukuru sana selikali kwa kweli


