Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
😆😆😆😆 corona ipo kule tahadhali muhimu.Sema usifurahi sana, tuna siku tatu za maombolezo... jamaa mjinga kweli eti kasubiri wikendi!
😆😆😆😆 corona ipo kule tahadhali muhimu.Sema usifurahi sana, tuna siku tatu za maombolezo... jamaa mjinga kweli eti kasubiri wikendi!
Sitawaangusha mkuu,mniombeeBasi kama upo huko itakuwa vyema utakuwa unatuwakilisha na ss watu wa JF usiku wa manane.
Njoo liquid pubNani yupo Dar out anaenjoy?
Leo zam ya wamikoaniNani yupo Dar out anaenjoy?
TGIF
Leo zam ya wamikoani
chukua tahadhali kwenye corona sasa.Sitawaangusha mkuu,mniombee
Ina maana wengi humu ni wa mikoani?

ukajua wote wa daaar watu tupo kinyagigi huko manyoniUsiwe na wasiwasi mkuuchukua tahadhali kwenye corona sasa.
Ila maisha haya ningekuwa ndio mm nyonge nimeondoka ningesha chimbiwa huko mapema na bulldozer.Usiwe na wasiwasi mkuu
Mkuu maisha hayako fair kabisa, wengine wanakufa wanazikwa kama paka,wengine kama hivyo maombolezo siku tatu nchi nzima, bendera nusu mlingoti,na sanamu pia anaweza kujengewa.Ila maisha haya ningekuwa ndio mm nyonge nimeondoka ningesha chimbiwa huko mapema na bulldozer.
Uko pande zipi mkuuAliye Dar plz
Unaweza kufa kwanja msibani wakapika wali nyama 😆 😆 😆 😆Mkuu maisha hayako fair kabisa, wengine wanakufa wanazikwa kama paka,wengine kama hivyo maombolezo siku tatu nchi nzima, bendera nusu mlingoti,na sanamu pia anaweza kujengewa.
Sisi wengine ndio hivyo tena ukifa leo unazikwa kesho,watu wanapiga ubwabwa wanakusahau.
kuna maajabu yeyote?