Ndio mkuu....[emoji23][emoji23]Hoja gani unayounga?
Kumbe Jana ulikuja kulinda huku[emoji23]Mimi niko macho na "Nchale" mkononi.
Naomba ufunge lindo mkuu 😅Kumbe Jana ulikuja kulinda huku[emoji23]
Hii picha niliiona wiki jana mbc 2 nikakukumbuka sana.
Vipi ulipenda character ya Doctor..?Hii picha niliiona wiki jana mbc 2 nikakukumbuka sana.
Mambo yako haya
Lete nyimbo zaidi