Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Kama juzi na jana
Kama juzi na jana
Jirani kipenzi huwa una vitu special vingi ambavyo nikiwaeleza watabaki kuturushia mawe tuJirani yangu huwa anawivu hapendi kunisifia either kwa kutoa wasifu wangu or sifa zilizo nzuri kwangu sijui anashida gani
Mhhhhh utamfanya akimbie kijiwe siunamjua jirani yangu alivyo, kwenye mambo ya kujibu tuhuma hajiwezi jamani

Huwa nawahi kukuota hamna kingineBasi ngoja nimsamehe asije akakimbia bure,jje's akanilaumu
Jirani kipenzi huwa una vitu special vingi ambavyo nikiwaeleza watabaki kuturushia mawe tu




nipo captain

Manga mambo vipi aiseehKama juzi na jana
Hahahaha jirani yangu kumbe ana majirani wengine japo mimi jiranj yake naona nyumba 1Duuuh huyu jiran ni huyu huyu ama mwingine. Mbona ana majirani wengi sana? Au ni jiran kiwilaya, wengine kimkoa, wengine kinchi na wengine kihouse?![]()
![]()
![]()
Nauliza tu


jje's popote nikuonapo huwa nipo salama siwezi kukimbia ukiwepoAsante dear. Maana tuhuma za huku zimemkimbiza huwa anachungulia watu wakishalala wote.
Anakuja na fujo zote ili watu wasimuulize kitu
Kuna siku aliniambia mida ya mchana kwao ndio usiku wa manane ila atakuja siku InnaKichwa hivi Inna yupo wapi now days?
Hahahahaha saivi nimekuwa kuku aiseehKama juzi na jana
Zimefika maana asemacho jje's nami husema hicho na nisemacho naye husema.
Sawa jirani yangu, ila mwambie jje's kwamba mimi na wewe ni majirani tunaopendana tuu nothing else.

Pamoja mkuunipo captain![]()
salama lakin huko!?Pamoja mkuu
Salama kabisa ila napita mkuu.salama lakin huko!?
bas sawa salimia huko unako kwenda!! weekend ndio hiyooo !!Salama kabisa ila napita mkuu.
Popo wote upopo mwema
Poa poa mkuu.bas sawa salimia huko unako kwenda!! weekend ndio hiyooo !!
mhh hapo una maanisha nin, ukiandika Nleterewa Nganengo amsalimie Thad
Hahaha mkuu leo hizi balimi nilizokunywa sijui zimechanganywa na sifongo, siioni vizuri keyboard ndo maana unaona na- like napita

Nasikia et lakini kuna kesi unazikwepaHahahahaha saivi nimekuwa kuku aiseeh