Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
Kwema tu mkuu sijui wewe
Kwema tu mkuu sijui wewe
Sijui wameenda wapiHizi siku mbili naona wakongwe mmekimbia na kuacha geti waziii
Nitawatupia kunguni kwenye vitanda vyao.Sijui wameenda wapi
Wanalala mno
HahahaNitawatupia kunguni kwenye vitanda vyao.
Ili wapate hamasa ya kurudi lindo
Ila angalau leo tunaHahaha
Fanya hivyo mkuu
Tusikilize mangoma leo lindoni tuna party.Hapana mkuu.
Zilipigwa kura ikaonekana wewe ndo zaidi na unayeaminika kufikisha jahazi hili asubuhi
Hatari.Ila angalau leo tuna
Kataskopos
Ana playlist hatari