Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 738
- 1,759
Hapana uwezo wako mkubwa mkuu.Unanionea
Mbona asubuhi hapo tu
Hapana uwezo wako mkubwa mkuu.Unanionea
Mkuu huu sio mguu wangu
Karibu0040
AkhsanteKaribu
Uwepo wako ni muhimu katika hili lindo
Karibu mkuu
[emoji1787][emoji1787]Huku ni kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupaHapana uwezo wako mkubwa mkuu.
Mbona asubuhi hapo tu
Hizi siku mbili naona wakongwe mmekimbia na kuacha geti waziiiAkhsante
Hapana mkuu.[emoji1787][emoji1787]Huku ni kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Huyu jamaa alikua mchawi.Hizo ni baadhi ya arts za Da Vinci. Anaonyesha jinsi mfumo wa mishipa na misuli kwenye mguu.
mind you it was imaginery maana hakua ameona popote. Wonder for enough ndivyo ilivyo kiuhalisia