MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,452
- 69,332
Kwa kweli asubuhi isifike mapema.Tusikilize mangoma leo lindoni tuna party.
Hatari.
Mwamba anajua music aiseee.
Kwangu imekatika hiyo haijafunguka.Kama hii ngoma inanikumbusha mbali aisee
How can you grant your woman access to your villa....


Kwangu imekatika hiyo haijafunguka.
Ni wimbo gani?
Eee ikawaje?Sean Paul - Never Gonna Be The Same (Official Video).
Nilikua nimepigika na maisha ipasavyo
HaaahaaTukutane hapa walio kosa usingizi muda huu mimi nimenyimwa Game yani nimekosa usingizi kabisa.