Salama kabisa, sijui wewe ?Nitakukamata tu...
Umeshindaje?
Salama kabisa, sijui wewe ?Nitakukamata tu...
Umeshindaje?
Na mimi kesho itabidi nifanye muamala, kazi unayo ifanya ni kubwa sana.Bado sijauona labda mtandao
Alafu wewe ndio nani mwanzo usije kuwa my ex husband umebadili tu jinaKaa kwa kutulia![]()
Ndio fanya namna ndugu yangu kazi ninayofanya ni nzito mnoNa mimi kesho itabidi nifanye muamala, kazi unayo ifanya ni kubwa sana.
Alafu wewe ndio nani mwanzo usije kuwa my ex husband umebadili tu jina



Japo mimi siyo ndugu yako, ila itabidi nilipe fadhila aisee, kazi unayoifanya ni kubwa mno, unastahili malipo na mimi nitafanya hivyo.Ndio fanya namna ndugu yangu kazi ninayofanya ni nzito mno
Na mimi kesho itabidi nifanye muamala, kazi unayo ifanya ni kubwa sana.
Ni muhimu mnooMbona kujihami mapema![]()
Tuma haraka kwa namba ileileJapo mimi siyo ndugu yako, ila itabidi nilipe fadhila aisee, kazi unayoifanya ni kubwa mno, unastahili malipo na mimi nitafanya hivyo.
Kama hujamtolea posa huyu ni wetu sote, mwenye kisu kikali ndiyo mla nyama. Vumilia tu chief.Huu wivu huu, wako si yule mwingine..!!
Kama hujamtolea posa huyu ni wetu sote, mwenye kisu kikali ndiyo mla nyama. Vumilia tu chief.

Nimepoteza utanitumia tena,nitimize ahadi.Tuma haraka kwa namba ileile
Ni muhimu mnoo
Elimu ya "emoj" sina, hapa umemaanisha nini ?
Kama hujamtolea posa huyu ni wetu sote, mwenye kisu kikali ndiyo mla nyama. Vumilia tu chief.
Wewe nawe umeshaanzaNimepoteza utanitumia tena,nitimize ahadi.
Ila utawezana?Usiogope, ukinipea siambii mtu.
Yule wangu hana shida, amenikuta niko hivi hivi, mpaka leo niko naye ujue anavumilia mengi.Nitakachofanya mimi ni kumtag tu yule mwingine, unalijua balaa lake.![]()
Nimemkonyesha tu nothing specialElimu ya "emoj" sina, hapa umemaanisha nini ?
Au mdau amekutolea posa, kama amekutolea posa ngoja nimuachie, nipambane na wengine huko.