Itabidi nirudi tena darasani.Ndio baba
Itabidi nirudi tena darasani.Ndio baba
Nzuri tu me leo naona kama weekendMambo Poa mpendwa.
Za kwako?
NishamalizaYule wangu hana shida, amenikuta niko hivi hivi, mpaka leo niko naye ujue anavumilia mengi.
Rowin njoo useme lolote hapa kipenzi changu malkia.
Sio vizuri hivyo, tunapenda kuona hata mwandiko wako tu mapigo ya moyo yanatulia kidogo.Huyu mrembo yupo kila siku,anawalinda kimya kimya
Nasubiri namba.
Semq chochote, ili wakae mbali na wewe.Nishamaliza
Rudi tu kiswahili kinachanja mbugaItabidi nirudi tena darasani.
Kwani leo lini?Nzuri tu me leo naona kama weekend
Sisi tumeumbiwa kuwamiliki hawa wengi wengi, kwahiyo usiniletee fitina ukanipeperushia ndege wangu, na yeye anabidi aingie kundini.
@Don Clericuzio muombe huyu mtu atakupaNasubiri namba.
Yule nae nilijua tu
Sasa hili tusi na dharau za wazi wazi, acha zawadi yangu nikae nayo mwenyewe, nitampa mwingine.@Don Clericuzio muombe huyu mtu atakupa
J5 lakini kama weekend sijui kwanini nahisi hivyoKwani leo lini?
Maana mimi nahisi kila siku ni weekend tu
Sio vizuri hivyo, tunapenda kuona hata mwandiko wako tu mapigo ya moyo yanatulia kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha acha muombe tu hata sio dharauSasa hili tusi na dharau za wazi wazi, acha zawadi yangu nikae nayo mwenyewe, nitampa mwingine.
Basi itakuwa ni weekend...J5 lakini kama weekend sijui kwanini nahisi hivyo
Hata mimi nawahitaji sijui wako wapi!
Hili kikwetu ni tusi kubwa mno. Kaa nayo namba yako.Hahahahaha acha muombe tu hata sio dharau