Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,960
Asante.
Kwema?
Uhakika, naona mnazozana.
Asante.
Kwema?
Kwanini hamna voice note huku???
Nilitaka nitume sauti za hapa nilipo aiseeee
@Jurjani anataka kunizingua
ItanibidiMzoee tu, hakuna namna.
Itanibidi
Acha nikausikilizeMzozo wenu ukanikumbusha wimbo wa:
Ngwea ft Jaydee... Mapenzi gani.
Acha nikausikilize
Jamani mbona unanisemea[emoji52]chiqutitta anawasalimu, hana bando.
Jamani mbona unanisemea[emoji52]
Bado sijauona labda mtandaoNimekufanyia muamala, si umeona..!! [emoji12]
Bado sijauona labda mtandao