Asante! Duuh kichwa kitaniuma sana!Ndio maana haswa ya huu uzi! karibu sana best.
Asante! Duuh kichwa kitaniuma sana!Ndio maana haswa ya huu uzi! karibu sana best.
IijiijjliInna popo sugu umekuwa kuku

mimi mkuuNani hajasikia jina lake?
Huyu malaika wa giza sijui nani kamteka
Huu ndo muda wetu sahihi wa kutamba, Bundi ThadHahahah! Nleterewa Nganengo kaniita kuku kisa nimefungua geti muda wa kulala kuku

Tupo mkuu, naona siku izi unashuka tu, ulikua bundi mzuri tu saiv ushakua popo, unakoelekea sasa utakua kukuPopoooozz, mpo, napita tu![]()
![]()
![]()

natafuta mchumba...awe wa kikeHuu ndo muda wetu sahihi wa kutamba, Bundi Thad![]()
Tupo mkuu, naona siku izi unashuka tu, ulikua bundi mzuri tu saiv ushakua popo, unakoelekea sasa utakua kukuPopoooozz, mpo, napita tu![]()
![]()
![]()

Siwezi kuwa kuku, natoa huduma muda huu, huwa nazima internet na kupita mara moja moja kuchungulia but silali, nakesha kuwajibika.Tupo mkuu, naona siku izi unashuka tu, ulikua bundi mzuri tu saiv ushakua popo, unakoelekea sasa utakua kuku![]()
![]()
![]()